Jimbo: Arusha Mjini
Jimbo display: Arusha Mjini
Constituency display: Arusha Urban
Point location: Arusha, Tanzania
1: Miongoni mwa majimbo ambayo CCM inaweka nguvu kubwa kuyarejesha ni Arusha Mjini, ambako chama hicho tawala kilishajaribu hata kutumia Mahakama, lakini ikashindikana.
E1: Among the constituencies where CCM is putting a lot of effort to win back is Arusha Town, where the ruling party previously even turned to the courts, unsuccessfully.
2: Baada ya Godbless Lema wa Chadema kushinda uchaguzi mwaka 2010, makada watatu wa CCM walifungua kesi kupinga ushindi wake na Mahakama Kuu, Kanda ya Arusha ikamvua ubunge, lakini alikata rufaa na kurejeshewa ubunge.
E2: After Chadema’s Godbless Lema won the election in 2010, three CCM members launch a case at the High Court in Arusha against the election results. The Court stripped Lema of his seat, but the decision was overturned on appeal.
3: CCM inaendelea na harakati hizo kwenye jimbo hilo ambalo Chadema na CCM walichuana vikali kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Lema amepitishwa na Chadema kutetea kiti chake wakati CCM imemsimamisha Philemon Mollel.
E3: CCM is still pursuing efforts in the constituency, where CCM and Chadema also fought closely in street level elections. Lema has been nominated again by Chadema to defend his seat, and CCM has put forward Philemon Mollel.
4: Mwenyekiti wa mtandao wa mashirika yasiyo ya kiserikali mkoa wa Arusha (Angonet), Petro Ahham alisema, utafiti walifanya, umebaini ugumu katika uchaguzi wa mwaka huu kwenye majimbo yote mkoani Arusha.
E4: The chair of Arusha NGO Network (ANGONET), Petro Ahham said that their research had found it was hard to predict the outcome in any of the constituencies of Arusha region.
5: Katibu wa Chadema Mkoa wa Arusha, Calist Lazaro alitamba kuwa chama hicho kitashinda, huku Katibu wa CCM wa Mkoa, Alfonce Kinamhala akisema CCM ndiyo itaibuka kidedea.
E5: Chadema regional secretary, Calist Lazaro predicts that the party will win, while CCM regional secretary, Alfonce Kinamhala said CCM would emerge victorious.
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url:
description:
name:
REGION_COD: 02
REGION_NAM: Arusha
DISTRICT_C: 03
DISTRICT_N: Arusha Urban
Jimbo: Biharamulo
Jimbo display: Biharamulo
Constituency display: Biharamulo
Point location: Biharamulo, Tanzania
1: Mgombea wa Chadema Dk Anthony Mbassa ambaye anatetea jimbo hilo anachuana na mgombea wa (CCM) Osca Mkasa ambaye amewahi kugombea jimbo hilo na kushindwa.
E1: Chadema candidate, Dr Anthony Mbassa, who is defending this constituency, is in a battle with Osca Mkasa of CCM, who previously contested unsuccessfully for the seat.
2:
E2:
3:
E3:
4:
E4:
5:
E5:
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 18
REGION_NAM: Kagera
DISTRICT_C: 04
DISTRICT_N: Biharamulo
Jimbo: Buhigwe
Jimbo display: Manyovu / Buhigwe / Kasulu Magharibi
Constituency display: Manyovu / Buhigwe / Kasulu West
Point location: Manyovu, Tanzania
1: Kwenye Jimbo la Manyovu, mpambano upo kati ya Albert Obama wa CCM, Basilius Budida wa Chadema na Goodluck Kimari wa ACT Wazalendo ambao yeyote miongoni mwao anaweza kuibua mshindi.
E1: In Manyovu constituency (Buhigwe / Kasulu West), the battle between Albert Obama of CCM, Basilius Budida of Chadema and Goodluck Kimari of ACT Wazalendo is close – any one of them could win.
2: Jimbo hilo ambalo awali Ukawa walilitoa kwa NCCR Mageuzi, bado mgombea wa chama hicho ameshindwa kuhimili nguvu ya ushindani wa kisiasa,na kwa sasa ni dhahiri ushindi umebaki kati ya vyama hivyo vitatu.
E2: The constituency was previously offered by Ukawa to NCCR Mageuzi, but their candidate was unable to take the competition and it’s now seen as a race between the other three parties.
3:
E3:
4:
E4:
5:
E5:
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 16
REGION_NAM: Kigoma
DISTRICT_C: 06
DISTRICT_N: Buhigwe
Jimbo: Bukoba mjini
Jimbo display: Bukoba mjini
Constituency display: Bukoba Urban
Point location: Bukoba, Tanzania
1: Kuna majimbo manne yenye ushindani kati ya wagombea wa CCM na Ukawa. Majimbo hayo ni pamoja na Bukoba mjini ambako Hamis Kagasheki (CCM) anakabiliana na Wilfred Lwakatare (Chadema).
E1: There are four constituencies in Kagera region with high levels of competition between CCM and Ukawa. One of these is Bukoba Urban, where Hamis Kagasheki (CCM) is defending against Wilfred Lwakatare (Chadema)
2: Ushindani huo unachangiwa na athari za migogoro ya Baraza la Madiwani ulioletwa na mahasimu Dk Anatory Amani wa CCM na aliyekuwa Mwenyekiti wa UVCCM Manispaa ya Bukoba Chief Karumuna ambao wamehamia upinzania na kubadili mwelekeo wa kisiasa katika jimbo hilo.
E2: The contest is even hotter as a result of a split in the local council, where Anatory Amani of CCM and the former chair of CCM Youth League Bukoba Urban, Chief Karumuna, left the party to join the opposition, which changes the local situation markedly.
3:
E3:
4:
E4:
5:
E5:
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 18
REGION_NAM: Kagera
DISTRICT_C: 06
DISTRICT_N: Bukoba Urban
Jimbo: Bunda Mjini
Jimbo display: Bunda Mjini
Constituency display: Bunda Urban
Point location: Bunda, Tanzania
1: “Mzee na Kijana”
E1: “Old man and young man”
2: Mpambano mwingine unatarajiwa kuwa Jimbo la Bunda Mjini, ambako kuna vita ya vyama na umri. Mwanasiasa mkongwe, Steven Wasira (70) wa CCM anapambana na mbunge wa zamani wa viti maalumu (CCM), Ester Bulaya (35).
E2: Another battleground is expected to be Bunda Town, where there is a battle between parties and age groups. Long-standing politician, Steven Wassira (70) of CCM is competing against a past special seats MP for CCM, Ester Bulaya (35).
3: Bulaya aliamua kuondoka CCM muda mfupi baada ya Bunge kuvunjwa baada ya kulitumikia kwa kipindi kimoja akitokea Umoja wa Vijana wa CCM.
E3: Bulaya left CCM shortly after parliament broke up after serving for a single term as a special seats MP representing young people.
4: “Chadema walikuwa na nguvu, lakini kujiengua kwa viongozi wa wilaya kumeiyumbisha,” alisema mkazi wa Bunda, Phinias Maige.
E4: “Chadema were strong, but the departure of local leaders from the party has weakened it,” said Bunda resident, Phinias Maige.
5:
E5:
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 20
REGION_NAM: Mara
DISTRICT_C: 04
DISTRICT_N: Bunda
Jimbo: Dodoma Mjini
Jimbo display: Dodoma Mjini
Constituency display: Dodoma Urban
Point location: Dodoma, Tanzania
1: Upinzani mkali pia uko kwenye Jimbo la Dodoma Mjini ambako vyama viwili vyenye nguvu nchini vinachuana. Chadema imemsimamisha Benson Kigaile wakati Anthony Mavunde amesimamishwa na CCM.
E1: There is strong competition in Dodoma Urban, where two strong parties will fight it out. Chadema has put forward Benson Kigaile while Anthony Mavunde will represent CCM.
2: Jimbo hilo limekuwa chini ya CCM kwa muda mrefu, ingawa wakati uchaguzi wa vyama vingi uliporejeshwa mwaka 1995, NCCR waliweka upinzani mkubwa. Hata hivyo, mkakati wa Chadema kujiimarisha kwa wanavyuo, umemfanya mgombea wake kuwa na nguvu kubwa.
E2: The constituency has been held by CCM for a long time, though when multi-party elections were re-established in 1995, NCCR put up a strong fight. Nevertheless, Chadema’s strength among students means that their candidate stands a good chance.
3: “Chadema ilikuwa makini katika kuteua wagombea udiwani wake na iliwapata wengi kutoka vyuoni. Wagombea hawa wa udiwani ndiyo wamefanya kazi kubwa ya kukitangaza chama hadi kimekuwa na nguvu kubwa,” alisema mwandishi wetu wa Dodoma, Habel Chidawali. “Tatizo la CCM hapa wameweka madiwani walewale waliozoeleka ndiyo maana hakuna tofauti kubwa.”
E3: “Chadema was careful in choosing its candidates for local councillors and many were from the Universities. These candidates did an excellent job in promoting the party to the extent that it now has a lot of support,” said our reporter in Dodoma, Habel Chidawali. “CCM’s problem is that they selected the same councillors as before, which is not seen as a change by locals.”
4:
E4:
5:
E5:
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 01
REGION_NAM: Dodoma
DISTRICT_C: 05
DISTRICT_N: Dodoma Urban
Jimbo: Ilemela
Jimbo display: Ilemela
Constituency display: Ilemela
Point location: Ilemela, Tanzania
1: Jimbo la Ilemela lilichukuliwa na Highness Samson wa Chadema, baada ya kumwangusha Dk Anthony Diallo wa CCM. Jimbo hilo sasa linawaniwa na mbunge aliyemaliza muda wake na mgombea wa CCM Angelina Mabula na aliyekuwa mbunge wa viti maaalumu CUF, Mkiwa Kimwaga ambaye sasa anagombea kupitia ACT –Wazalendo.
E1: Ilemela constituency in Mwanza City was won by Highness Samson of Chadema, who defeated Anthony Diallo of CCM. The constituency is now contested by the sitting MP and a CCM candidate, Angelina Mabula, and a former special seats MP for CUF, Mkiwa Kimwaga, who is now running on the ACT-Wazalendo ticket.
2: Kutokana na kampeni za ubunge zinazoendelea katika Jimbo hilo, hali inaonyesha kwamba kutakuwa na ushindani mkubwa na kwamba mpaka sasa jimbo hilo halitabiriki litakwenda chama gani.
E2: The campaigns going on within the constituency suggest that the race will be close, and that it is impossible to predict which party will emerge victorious.
3:
E3:
4:
E4:
5:
E5:
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 19
REGION_NAM: Mwanza
DISTRICT_C: 06
DISTRICT_N: Ilemela
Jimbo: Iringa Mjini
Jimbo display: Iringa Mjini
Constituency display: Iringa Urban
Point location: Iringa, Tanzania
1: Jimbo la Iringa lililopo chini ya himaya ya Chadema, nalo linatajwa kuwa miongoni mwa yenye ushindani mkubwa kutokana na CCM kumsimamisha mgombea anayetajwa kuwa kipenzi cha wananchi, Frederick Mwakalebela.
E1: Iringa Urban is currently held by Chadema, but is seen to be among those facing a tough battle to defend the seat against CCM, as the party has put forward a candidate who is locally very popular, Frederick Mwakalebela.
2: Kupitishwa kwa Mwakalebela katika jimbo hilo kumeonekana kuibua ushindani mkubwa na sasa mgombea anayetetea nafasi yake Mchungaji Peter Msigwa (Chadema) anakabiliwa na wakati mgumu tofauti na ilivyokuwa awali.
E2: The choice of Mwakalebela in this constituency has led to increased competitiveness, and now the defending MP, Pastor Peter Msigwa (Chadema) will have a much harder time than before.
3: Mmoja wa waliogombea ubunge katika jimbo hilo, Frank Kibiki alisema ingawa wagombea katika jimbo hilo wapo watano ni wagombea wa vyama vya CCM na Chadema wanaoonekana kuleta ushindani mkubwa.
E3: One of the past candidates in the constituency, Frank Kibiki, said that although there are five candidates for the seat, it is only really a contest between CCM and Chadema.
4: Kitendo cha CCM kumsimamisha Mwakalebela, mgombea aliyejijengea umaarufu alipogombea mwaka 2010 na jina lake kuondolewa na vikao vya juu vya chama chake kunamuongezea nguvu ya ushindi.
E4: CCM’s choice of Mwakalebela, a candidate who earned fame in 2010 when he was selected by the local party but their choice was overturned by the party’s central bodies, gives them a strong chance of winning.
5: Mchungaji Msigwa aliyetumikia jimbo hilo miaka mitano, anakumbana na upinzani mkali pale anapohojiwa utekelezaji wa ahadi lukuki alizozitoa mwaka 2010 wakati alipokuwa akisaka kura za wananchi wa jimbo hilo.
E5: Pastor Msigwa, who has served the constituency for five years, faces strong opposition when he is asked whether he has delivered on the many promises he made in 2010 while seeking citizens’ votes.
6: Hata hivyo, Mwakalebela ana kazi ngumu ya kushawishi wanachama wa CCM waungane kumpigania baada ya baadhi ya walioshindwa kwenye kura za maoni kusemekana kuwa hawamuungi mkono.
E6: Nevertheless, Mwakalebela has a difficult task to convince CCM members to join together in support, after some of those who lost out in the nomination process are said to have declined to give him their support.
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 11
REGION_NAM: Iringa
DISTRICT_C: 01
DISTRICT_N: Iringa Rural
Jimbo: Kahama Mjini
Jimbo display: Kahama Mjini
Constituency display: Kahama Urban
Point location: Kahama, Tanzania
1: Kama ilivyo Bunda, mpambano wa aina hiyo utakuwa Jimbo la Kahama ambako Lembeli, ambaye anatetea kiti hicho atakuwa akipambana na mfanyabiashara maarufu, Jumanne Kishimba wa CCM.
E1: As it is in Bunda, so it is in Kahama, where Lembeli will defend the seat against a well known businessman, Jumanne Kishimba of CCM.
2: Lembeli, mmoja wa wabunge waliokuwa wakisimama kidete dhidi ya Serikali katika hoja za ufisadi, alihama CCM kwa wakati mmoja na Bulaya na kupata fursa ya kujitangaza mapema kwenye mikutano ya hadhara ya kutambulisha wanachama wapya iliyohudhuriwa na maelfu ya watu.
E2: Lembeli, well known for speaking out against government corruption, left CCM at the same time as Bulaya, and got the opportunity to introduce himself early when new Chadema members were welcomed before thousands of people.
3: Kishimba ni maarufu kutokana na kazi zake na jana alikuwa akipigiwa kampeni na Dk Magufuli katika mkutano wa hadhara uliofurika watu mjini Kahama.
E3: Kishimba is famous for his work, and was recently given support by CCM presidential candidate, John Magufuli, in public rallies in Kahama Town.
4: Wagombea hao wawili hawategemei upinzani mkubwa kutoka kwa mgombea wa ACT Wazalendo, Bobson Wambura.
E4: These two candidates don’t expected a strong challenge from the ACT Wazalendo candidate, Bobson Wambura.
5:
E5:
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 17
REGION_NAM: Shinyanga
DISTRICT_C: 05
DISTRICT_N: Kahama Township Authority
Jimbo: Karagwe
Jimbo display: Karagwe
Constituency display: Karagwe
Point location: Karagwe, Tanzania
1: Mgombea wa CCM Innocent Bashungwa anachuana na mgombea wa Chadema Prince Rwazo kijana ambaye amewahi kuwa kiongozi wa CCM katika Wilaya hiyo kabla yakuhamia Chadema.
E1: CCM candidate, Innocent Bashungwa is in competition with a young Chadema candidate, Prince Rwazo, who was previously a CCM leaders within the district before joining Chadema.
2: Mbunge wa zamani wa jimbo hilo Gosbert Blandes alijitoa katika hatua za awali za mchakato wa kura za maoni hali inayotajwa kuleta mgawanyiko miongoni mwa wanachama wa CCM na hivyo kuongeza ushindani wa nafasi hiyo.
E2: The outgoing MP, Gosbert Blandes, withdrew from the running in the early stages of the nomination process, which is said to have created a split within CCM, making the seat more competitive.
3:
E3:
4:
E4:
5:
E5:
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 18
REGION_NAM: Kagera
DISTRICT_C: 01
DISTRICT_N: Karagwe
Jimbo: Kasulu Mjini
Jimbo display: Kasulu Mjini
Constituency display: Kasulu Urban
Point location: Kasulu, Tanzania
1: Jimboni Kasulu Mjini, kada wa CCM, Daniel Nsanzugwanko amerejea kwenye chama hicho baada ya kwenda upinzani kwa muda na amepewa nafasi hiyo kupambana na mmoja wa wabunge machachari wa Bunge la 10, Moses Machali, ambaye amehamia ACT Wazalendo.
E1: In Kasulu Urban constituency, CCM member, Daniel Nsanzugwanko, has returned to the party after joining the opposition for a period, and has been given the chance to compete against one of the trickiest MPs of the tenth parliament, Moses Machali, who has joined ACT Wazalendo.
2: Pamoja na mtandao wa CCM kuwa mpana, bado chama hicho hakijaweza kujijenga vizuri Kigoma, ambako Chadema na NCCR Mageuzi zinatamba huku, ACT Wazalendo ikiongeza joto.
E2: Though the CCM network is wide, the party is not strong in Kigoma, where Chadema and NCCR Mageuzi have been strong, now joined by ACT Wazalendo.
3: Machali alikuwa mbunge wa jimbo hilo kuanzia 2010 – 2015 na Nzanzugwanko aliwahi kuongoza kati ya mwaka 2005 hadi 2010 wakati huo likiitwa Jimbo la Kasulu Mashariki kabla ya kuligawa na kupata majimbo ya Kasulu Mjini na Kasulu Vijijini.
E3: Machali was MP for this constituency between 2010 and 2015, and Nzanzugwanko between 2005 and 2010, when the constituency was called Kasulu East, before being divided into Kasulu Urban and Kasulu Rural.
4:
E4:
5:
E5:
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 16
REGION_NAM: Kigoma
DISTRICT_C: 08
DISTRICT_N: Kasulu Township Authority
Jimbo: Kawe
Jimbo display: Kawe
Constituency display: Kawe
Point location: Kawe, Dar es Salaam, Tanzania
1: Mkoani Dar es Salaam, wapinzani watakuwa na kazi ya kutetea majimbo waliyoshinda mwaka 2010. Jimbo la Kawe liliponyoka mikononi mwa CCM wakati Halima Mdee alipoibuka kidedea kwa mshangao wa chama hicho tawala.
E1: In Dar es Salaam region, the opposition will face a stiff challenge to defend the two constituencies they won in 2010. Kawe fell out of CCM’s hands when Halima Mdee surprised the party by running for Chadema.
2: Mdee amekuwa mzungumzaji mkubwa bungeni, akichangia kwenye hoja nzito dhidi ya Serikali na kuzidisha umaarufu wake si tu jimboni kwake, bali kuwa kivutio kwa wengi wanaofuatilia shughuli za chombo hicho cha kutunga sheria. Umaarufu wa Mdee umeifanya CCM kutafuta mgombea kijana ili akabiliane naye na sasa atapambana na Kippi Warioba, mtoto wa kada maarufu wa CCM, Jaji Joseph Warioba.
E2: Mdee has been a very vocal MP in parliament, making some very strong criticisms of government, which has earned her a very strong reputation not just in her own constituency but also among many who follow parliament. Her fame has led CCM to seek a young candidate who can take her on – Kippi Warioba, the son of the well-known CCM member, Justice Joseph Warioba.
3: Kippi Warioba, mkurugenzi mkuu wa kampuni ya iContact Corporate Relations, atakuwa akipambana na Mdee mwenye nguvu zaidi kutokana na ukweli kwamba mwaka huu anaungwa mkono na CUF, NCCR Mageuzi na NLD.
E3: Kippi Warioba, who is the Chief Executive of iContact Corporate Relations, will battle it out with Mdee, who will be stronger this years as the Ukawa candidate, with support from CUF, NCCR Mageuzi and NLD.
4:
E4:
5:
E5:
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 07
REGION_NAM: Dar-es-salaam
DISTRICT_C: 01
DISTRICT_N: Kinondoni
Jimbo: Kigoma Mjini
Jimbo display: Kigoma Mjini
Constituency display: Kigoma Urban
Point location: Kigoma, Tanzania
1: Kama kuna jimbo ambalo chama kipya cha ACT Wazalendo kinaweza kuwa na uhakika, ni Kigoma Mjini ambako kiongozi wa chama hicho, Zitto Kabwe aamehamia. Zitto alikuwa mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini akiwa Chadema kuanzia mwaka 2005 hadi mwaka huu, lakini sasa amehamia Kigoma Mjini ambako anapambana na Dk Aman Kabourou.
E1: If there is any constituency where ACT-Wazalendo is confident of victory, it is Kigoma Urban, where the party’s leader, Zitto Kabwe is competing. Zitto, who was previously the Chadema MP for Kigoma North since 2005 until this year, has relocated to Kigoma Urban, where he will compete against Dr Aman Kabourour (CCM).
2: Licha ya CCM kumsimamisha Dk Kabourou aliyewahi kuwa katibu mkuu wa Chadema na mbunge wa Kigoma mjini kuanzia 1995 hadi 1999 na baadaye mwaka 2000 hadi 2005 anaonekana kupata wafuasi wachache na hiviu karibuni alionja joto la jiwe kwa kuzomewa na wananchi mbele ya Dk Magufuli.
E2: Dr Kabourou was previously General Secretary of Chadema and MP for Kigoma Urban between 1995 and 199, and again from 2000 to 2005. He is seen to have less supporters recently, and was boo-ed by citizens in front of John Magufuli.
3: Mgombea wa Chadema, Daniel Rumenyela, ambaye ni wakili wa kujitegemea, hategemewi kupata kura nyingi kutokana na Chadema kutokuwa maarufu, kwa mujibu wa mwandishi wetu wa Kigoma.
E3: Chadema candidate, Daniel Rumenyela, is an independent advocate, is not expected to win many votes as Chadema is not locally popular, according to our reporter in Kigoma.
4: Hata hivyo kuna uwezekano Vyama vya Chadema na ACT Wazalendo wakagawana kura na kujikuta CCM ikishinda kwa tofauti ndogo ya kura.
E4: Nevertheless, there is a chance that Chadema and ACT-Wazalendo could split the opposition vote and allow CCM to win a narrow victory.
5:
E5:
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 16
REGION_NAM: Kigoma
DISTRICT_C: 04
DISTRICT_N: Kigoma Municipal-Ujiji
Jimbo: Kishapu
Jimbo display: Kishapu
Constituency display: Kishapu
Point location: Kishapu, Tanzania
1: Mnyukano pia upo katika Jimbo la Kishapu ambako Suleiman Nchambi wa CCM anachuana na Fred Mpendazoe (Chadema).
E1: There will be a fight in Kishapu, too, where Suleiman Nchambi of CCM will compete with Fred Mpendazoe of Chadema.
2: Mpendazoe amewahi kuwa mbunge wa jimbo hilo mwaka 2005 na baadaye kujiuzuru mwanzoni mwa mwaka 2010.
E2: Mpendazeo was previously an MP in this constituency from 2005, who resigned in early 2010.
3:
E3:
4:
E4:
5:
E5:
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 17
REGION_NAM: Shinyanga
DISTRICT_C: 02
DISTRICT_N: Kishapu
Jimbo: Kyerwa
Jimbo display: Kyerwa
Constituency display: Kyerwa
Point location: Kyerwa, Tanzania
1: Ushindani mwingine mkubwa uko katika jimbo la Kyerwa ambako Innocent Bilakwate (CCM) anachuana vikali na Benedict Mutungirehi aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo hilo kupitia TLP na mwaka huu alijiunga na Chadema.
E1: Another close contest is the constituency of Kyerwa, where Innocent Bilakwate (CCM) is in competition with Benedict Mutungirehi, who was previously a TLP MP in this constituency, but has now joined Chadema.
2:
E2:
3:
E3:
4:
E4:
5:
E5:
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 18
REGION_NAM: Kagera
DISTRICT_C: 08
DISTRICT_N: Kyerwa
Jimbo: Lupa
Jimbo display: Lupa
Constituency display: Lupa
Point location: Ilungu, Mbeya, Tanzania
1: Hapa kuna miamba wawili wa siasa; Njelu Kasaka (Chadema) na Victor Mwambalaswa (CCM). Wanatoa ushindani mkali katika uchaguzi huu hasa kutokana kila mmoja kuwa na ushawishi mkubwa kwa wakazi wa jimbo hilo lilikoko wilayani Chunya.
E1: Here there are two political big beasts. Njelu Kasak (Chadema) and Victor Mwambalaswa (CCM). There will be fierce competition in this election as both are popular with residents of this constituency in Chunya district.
2: Kasaka ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Kilimo katika Serikali ya Awamu ya Tatu, anatajwa kwa sifa ya kuhamahama vyama. Awali, alikuwa CCM, lakini aliwahi kuhamia CUF, kabla ya kurudi CCM na hatimaye kuhama tena hivi karibuni na kuingia Chadema.
E2: Kasaka, a former Deputy Minister of Agriculture in the third phase government (of President Mkapa), is known for changing parties often. He was originally in CCM, then joined CUF before returning to CCM, and then only recently joining Chadema.
3:
E3:
4:
E4:
5:
E5:
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 12
REGION_NAM: Mbeya
DISTRICT_C: 01
DISTRICT_N: Chunya
Jimbo: Mbeya Mjini
Jimbo display: Mbeya Mjini
Constituency display: Mbeya Urban
Point location: Mbeya, Tanzania
1: CCM pia itakuwa ikihaha kurejesha Jimbo la Mbeya, ambako kada wa Chadema, Joseph Mbilinyi, maarufu kwa jina la Sugu, anaonekana kujichimbia baada ya kushinda mwaka 2010.
E1: CCM will need to battle to reclaim Mbeya Urban, where Joseph Mbilinyi of Chadema, popularly known as Sugu, is widely seen as having dug in after victory in 2010
2: Katika kutafuta mtu wa kushindana na mgombea huyo kijana mwenye umri wa miaka 43, CCM imempitisha Sambwee Shitambala ambaye mwaka 2005 aligombea kwa tiketi ya Chadema kabla ya kuenguliwa kwa kukosea kiapo.
E2: In looking for a candidate to take on the 43 year old MP, CCM chose Sambwee Shitambala, who in 2005 ran on the Chadema ticket, before being disqualified.
3: “Sugu atashinda, lakini itabidi afanye kazi kubwa sana,” alisema Ipyanna Paul, mkazi wa Mbeya. “Sugu ana watu wengi mjini, lakini huyu jamaa (Shitambala) naye ana watu kiasi pembeni mwa mji hivyo kunaweza kuwapo ushindani mkubwa.”
E3: “Sugu will win, but he will need to do a lot of work,” said Ipyanna Paul, an Mbeya resident. “Sugu has lots of support in the town centre, but that guy (Shitambala) has a lot of support in the areas around the city, it could be a close fight.”
4: Sugu amekuwa akipambana vikali kulinda jimbo lake, akiendesha mikutano kadhaa, kusaidia vifaa kwenye shule na kukutana na makundi mbalimbali na hivyo kumfanya awe maarufu.
E4: Sugu has been fighting hard to defend his constituency, holding meetings, providing school equipment and meetings with various groups, which have built his popularity.
5: Mbilinyi anajivunia kundi kubwa la vijana ambao wanamwamini na ambao wamekuwa wakijazana kwenye mikutano yake ya kampeni.
E5: Mbilinyi (Sugu) is proud of the large group of young people who believe in him, and who attend his campaign rallies in large numbers.
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 12
REGION_NAM: Mbeya
DISTRICT_C: 08
DISTRICT_N: Mbeya Urban
Jimbo: Momba
Jimbo display: Momba
Constituency display: Momba
Point location: Ivuna, Mbeya, Tanzania
1: Aliyekuwa mbunge wa Mbozi Magharibi kupitia Chadema, David Silinde sasa amehamishia majeshi yake kwenye jimbo hilo akikabana koo na Luka Siame (CCM) ambaye aliwahi kuwa mbunge na Naibu Waziri Ofisi, Waziri Mkuu. Napo kuna ushindani mkali na wachambuzi wamesema nguvu yao ni 50/50.
E1: The previous Chadema MP for Mbozi West, David Silinde, has now shifted his campaign to this constituency, and will fight it out with Luka Siame (CCM), a former Deputy Minister in the Prime Minister’s Office. Competition will be fierce, and analysts say it is 50/50.
2:
E2:
3:
E3:
4:
E4:
5:
E5:
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 12
REGION_NAM: Mbeya
DISTRICT_C: 09
DISTRICT_N: Momba
Jimbo: Moshi Mjini
Jimbo display: Moshi Mjini
Constituency display: Moshi Urban
Point location: Moshi, Tanzania
1: Tofauti na miaka ya nyuma ambayo Jimbo la Moshi Mjini limekuwa likitambulika kama la Chadema, katika uchaguzi huu kumeibuka ushindani wa hali ya juu kati ya wagombea wa vyama vitatu wanaonekana kutoana jasho, huku kila mmoja akitamba kuibuka kidedea.
E1: Unlike in previous years, when Moshi Urban constituency was seen as a Chadema stronghold, in this election strong competition has emerged between three parties, with each party predicting victory.
2: Wagombea wanaochuana katika uchaguzi wa nafasi ya ubunge Jimbo la Moshi Mjini ni pamoja na Davis Mosha (CCM), ambaye ni mfanyabiashara maarufu wa Dar es Salaam, Jaffary Michael (Chadema) na Buni Ramole (ACT-Wazalendo).
E2: The candidates are David Mosha (CCM), a well-known businessman, Jaffary Michael (Chadema) and Buni Ramole (ACT-Wazalendo).
3: Jimbo la Moshi Mjini lililotawaliwa kwa miaka 20 na kambi ya upinzani, limeanza kumomonyoka taratibu na sasa linatajwa kama jimbo lenye ushindani mkubwa kati ya CCM na wapinzani.
E3: Moshi Urban, which has been held by opposition parties for 20 years, has slowly become more competitive between CCM and the opposition.
4: Mbunge anayemaliza muda wake, Philemon Ndesamburo hatagombea tena na kumfanya Mosha kuonekana ana nafasi ya kumshinda Michael. Mosha anatajwa kuuvuruga upinzani kutokana na kuwa na fedha za kutosha kuendesha kampeni na pia uwezo wa kusimama jukwaani kujieleza na kujenga hoja na ni mwenyeji wa Moshi.
E4: The current MP, Philemon Ndesamburo, is not standing again, which gives Mosha (CCM) an opportunity to defeat Michael (Chadema). Mosha is said to be causing concern to the opposition due to his wealth, which enables him to conduct a strong campaign, as well as his capacity to make powerful speeches and his local background.
5: Mfanyabiashara mashuhuri mkoani Kilimanjaro ambaye hakutaka kutajwa gazetini alilsema ingawa Mosha anaonekana kuwa na nguvu, anakabiliwa na changamoto ya kutokuwa mkazi wa mji wa Moshi.
E5: A leading figure in business in Kilimanjaro region, who did not want to be named, said that though Mosha looked strong, he faces a challenge because he does not live locally.
6: Anasema wakazi wa Moshi wana hulka ya kutaka mbunge mwenye makazi ya kudumu, jambo analosema ndilo lililokiangusha chama hicho katika uchaguzi wa mwaka 2010 kutokana na James Salakana kutokuwa mkazi.
E6: He said Moshi residents would much prefer a candidate who has a long term residence in the town, which is what prevented the previous CCM candidate in 2010, James Salakana, from winning.
7: “CCM ni kama wamejisahau na kurudia kosa lile lile walilolifanya mwaka 2010,” alisema.
E7: “It’s like CCM have forgotten and are repeating the same mistake they made in 2010,” he said.
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 03
REGION_NAM: Kilimanjaro
DISTRICT_C: 06
DISTRICT_N: Moshi Municipal
Jimbo: Msalala
Jimbo display: Msalala
Constituency display: Msalala
Point location: Bubada, Kahama, Tanzania
1: Ezekieli Maige wa jimbo la Msalala kupitia CCM, ana nafasi kubwa ya kurudi bungeni ikilinganishwa na wagombea wenzake Paul Malaika (Chadema) na Marco Sua (ACT-Wazalendo).
E1: Ezekiel Maige (CCM) of Msalala constituency has a good chance of returning to parliament, compared to her fellow candidates Paul Malaika (Chadema) and Marco Sua (ACT-Wazalendo).
2: Mratibu wa Uchaguzi mkoa wa Shinyanga Rubanzibwa Revelian alikiri kuwapo ushindani katika baadhi ya majimbo mkoani humo na kufafanua kuwa, hata hivyo hali ni shwari.
E2:
3:
E3:
4:
E4:
5:
E5:
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 17
REGION_NAM: Shinyanga
DISTRICT_C: 04
DISTRICT_N: Kahama
Jimbo: Muhambwe
Jimbo display: Muhambwe
Constituency display: Muhambwe
Point location: Kibondo, Tanzania
1: Kuna patashika nyingi katika jimbo hilo lililoko wilayani Kibondo ambako mchuano ni kati ya mgombe wa NCCR Mageuzi, Felix Mkosamali na kaka yake wa damu, Edgar Mkosamali aliyepitia ACT Wazalendo.
E1: There is strong competition in this seat in Kibondo district, where the battle is between the candidate of NCCR Mageuzi, Felix Mkosamali, and his brother, Edgar Mkosamali of ACT-Wazalendo.
2: Ndugu hao wanapata ushindani kutoka kwa mgombea wa CCM, Atashasta Nditiye anayepewa nafasi kubwa ya kushinda.
E2: These brothers are also competing against a strong CCM candidate, Atashasta Nditiye, who is given a strong chance of winning.
3:
E3:
4:
E4:
5:
E5:
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 16
REGION_NAM: Kigoma
DISTRICT_C: 01
DISTRICT_N: Kibondo
Jimbo: Musoma Mjini
Jimbo display: Musoma Mjini
Constituency display: Musoma Urban
Point location: Musoma, Tanzania
1: Mchuano mkali pia unaonekana pia Musoma Mjini ambako vyama vinne vimesimamisha wagombea. Vyama hivyo CCM iliyomsimamisha Vedastus Mathayo, Chadema (Vicent Nyerere), ACT- Wazalendo (Eliud Esseko) na CUF (Gabriel Ocharo).
E1: A fierce fight is going on in Musoma Urban, where four parties have put forward candidates. CCM has nominated Vedastus Mathayo and Chadama selected Vincent Nyerere, while ACT-Wazalendo will be represented by Eliud Esseko and CUF by Gabriel Ocharo.
2: Lakini ushindani unaonekana kuwa mkali zaidi kati ya mgombea wa CCM na Chadema ingawa, vyama vya CUF na ACT-Wazalendo navyo vina wapambe wengi.
E2: However, the competition appears to be closest between the CCM and Chadema candidates, though CUF and ACT also have considerable local support.
3:
E3:
4:
E4:
5:
E5:
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 20
REGION_NAM: Mara
DISTRICT_C: 05
DISTRICT_N: Musoma Municipal
Jimbo: Ngara
Jimbo display: Ngara
Constituency display: Ngara
Point location: Ngara, Tanzania
1: Kuna ushindani mkali katika nafasi ya ubunge kati ya mgombea wa CCM Alex Gashaza na mgombea wa Chadema Dokta Peter Bujali ambapo katika jimbo hilo utekelezaji wa makubaliano ya kusimamisha mgombea mmoja wa Ukawa hayakutekelezwa.
E1: There is strong competition for the parliamentary seat between CCM candidate Alex Gashaza and Chadema candidate Dr Peter Bujali, where the Ukawa agreement to field a single candidate has not been adhered to.
2:
E2:
3:
E3:
4:
E4:
5:
E5:
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 18
REGION_NAM: Kagera
DISTRICT_C: 05
DISTRICT_N: Ngara
Jimbo: Nyamagana
Jimbo display: Nyamagana
Constituency display: Nyamagana
Point location: Nyamagana, Tanzania
1: Kwenye jimbo la Nyamagana, mbunge aliyemaliza muda wake, Ezekia Wenje (Chadema), ambaye alishinda kwa tofauti ya zaidi ya kura 10,288 dhidi ya Lawrence Masha mwaka 2010, anatajwa kuwa na nguvu tofauti na mpinzani wake kutoka CCM, Stanslaus Mabula.
E1: In Nyamagana constituency, the outgoing MP, Ezekia Wenje (Chadema), who defeated Laurence Masha by 10,288 votes in 2010, is said to be stronger than his CCM opponent, Stanslaus Mabula.
2: Hata hivyo, licha ya Wenje kuonekana kuwa bado ana nguvu, watu wamekuwa wakidai kwamba Jimbo la Nyamagana bado lina upinzani mkali, kutokana na historia yake kuonyesha kwamba si rahisi mbunge kulitetea.
E2: Nevertheless, though Wenje is seen to be strong, people still claim that Nyamagana will be competitive, due to its history as hard for sitting MPs to defend.
3: Mbali na wagombea hao, jimbo hilo pia linagombewa na Daniel Okong’o wa ACT-Wazalendo na ambaye mwaka 2010 alimshinda Wenje kwenye kura za maoni ndani ya Chadema, lakini Wenje alipitishwa na chama hicho na akashinda.
E3: Besides these two candidates, the constituency is contested by Daniel Okong’o of ACT-Wazalendo, who in 2010 defeated Wenje in the Chadema nomination process, but his candidacy was overturned and Wenje proved victorious.
4:
E4:
5:
E5:
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 19
REGION_NAM: Mwanza
DISTRICT_C: 03
DISTRICT_N: Nyamagana
Jimbo: Shinyanga Mjini
Jimbo display: Shinyanga Mjini
Constituency display: Shinyanga Urban
Point location: Shinyanga, Tanzania
1: Steven Massele wa CCM anaonekana kuwa na wakati mgumu dhidi ya kada wa Chadema Batrobert Katambi ambaye amepewa nafasi kubwa ya kushinda katika uchaguzi huo.
E1: Steven Massele of CCM is seen to be facing a hard time against Chadema candidate Batrobert Katambi, who is seem as having a strong chance of victory.
2:
E2:
3:
E3:
4:
E4:
5:
E5:
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 17
REGION_NAM: Shinyanga
DISTRICT_C: 01
DISTRICT_N: Shinyanga Urban
Jimbo: Sumve
Jimbo display: Sumve
Constituency display: Sumve
Point location: Sumve, Tanzania
1: Jiombo la Sumve limesimamisha wagombea wanne wa vyama tofauti wakiwemo wawili wanaounda Umoja ya wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), ambao ni Ngh’olo Malimi Lubatula, mgombea kupita Chadema, Richard Mchele Kupitia Cuf na Richard Ndassa kupitia CCM.
E1: Sumve will be contested by four candidates, including two representing parties that are members of the Ukawa coalition – Ngh’olo Malimi Lubatula of Chadema, and Michard Mchele of CUF, along with Richard Ndassa of CCM.
2: Wagombea hao wanaochuana katika jimbo hilo ni hao wanaotoka kwenye vyama vinavyounda Ukawa.
E2: Those expected to compete most strongly for the seat are the two candidates representing Ukawa parties.
3:
E3:
4:
E4:
5:
E5:
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 19
REGION_NAM: Mwanza
DISTRICT_C: 04
DISTRICT_N: Kwimba
Jimbo: Tarime Mjini
Jimbo display: Tarime Mjini
Constituency display: Tarime Urban
Point location: Tarime, Tanzania
1: Mchuano upo baina ya mgombea wa CCM Michael Kembaki na kada wa Chadema, Esta Matiko ambaye alikuwa mbunge wa viti maalumu kupitia chama hicho katika bunge lililopita.
E1: There will be a struggle between the CCM candidate, Michael Kembaki and the Chadema representative, Esta Matiko, who was a special seats MP for her party in the last parliament.
2:
E2:
3:
E3:
4:
E4:
5:
E5:
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 20
REGION_NAM: Mara
DISTRICT_C: 01
DISTRICT_N: Tarime
Jimbo: Tarime Vijijini
Jimbo display: Tarime Vijijini
Constituency display: Tarime Rural
Point location: Susuni, Tarime, Tanzania
1: Vyama vinavyochuana Tarime Vijijini ni CCM, iliyomsimamisha Christopher Kangoye na Chadema ambayo mgombea wake ni John Heche.
E1: Parties fighting for Tarime Rural are CCM, which has nominated Christopher Kangoye, and Chadema, which will put forward John Heche.
2: Mchuano katika jimbo hilo umetokana na wakazi wa Wilaya ya Tarime kufanya kampeni za koo na baadhi ya vyama, hivyo kuwa na makundi ya kuharibiana ambayo yaliundwa katika kipindi cha kura za maoni za vyama hivyo vyote.
E2: The competition will be fierce due to the presence of groups of residents on all sides who are determined to disturb their opponents’ campaigns.
3:
E3:
4:
E4:
5:
E5:
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 20
REGION_NAM: Mara
DISTRICT_C: 01
DISTRICT_N: Tarime
Jimbo: Ubungo
Jimbo display: Ubungo
Constituency display: Ubungo
Point location: Ubungo, Tanzania
1: Licha ya kuwa na wagombea zaidi ya wawili, lakini wanaopewa nafasi ni aliyekuwa meya wa Jiji la Dar es Salaam, Didas Masaburi (CCM) na Saed Kubenea (Chadema).
E1: Though there are more than two candidates competing, those with a change of winning are the former Mayor of Dar es Salaam, Didas Masaburi (CCM) and Saed Kubenea (Chadema).
2: Ingawa Ubungo inasifika kama ngome ya upinzani, CCM imepenya na inapewa nafasi kubwa ya kulitwaa jimbo hilo kutokana na uwezo na mikakati ya Masaburi anayetajwa kuwa na nguvu kubwa ya ushawishi miongoni mwa watu wa rika zote katika jimbo hilo.
E2: Though Ubungo is known as an opposition stronghold, it could be vulnerable due to the capacity and strategies of Masaburi, who is said to have high convincing power among people of all ages in the constituency.
3: Kubenea, ambaye ni mkurugenzi wa kampuni ya Hali halisi Publishers, anaingia katika kinyang’anyiro hicho akiwa amejijengea sifa kubwa ya kufichua mafisadi kupitia kazi yake ya uandishi wa habari.
E3: Kubenea, who is the Director of Hali Halisi Publishers, enters the context having built a reputation as a campaigner against corruption, through his work in journalism.
4:
E4:
5:
E5:
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 07
REGION_NAM: Dar-es-salaam
DISTRICT_C: 01
DISTRICT_N: Kinondoni
Jimbo: Ukerewe
Jimbo display: Ukerewe
Constituency display: Ukerewe
Point location: Ukerewe, Tanzania
1: Mwaka 2010 jimbo hilo lilichukuliwa na kada wa Chadema Salvatory Machemli aliyemshinda mkongwe wa CCM Getrude Mongela. Mwaka huu jimbo hilo lina upinzani mkubwa baada ya mbunge aliyemaliza muda wake kuwania tena nafasi hiyo kupiti chama cha ACT -Wazalendo.
E1: In 2010, this seat was taken by Chadema member Salvatory Machemli, who defeated long-standing CCM MP Gertrude Mongela. This year, the seat has strong competition, with the sitting MP now running as a candidate for ACT-Wazalendo.
2: Jimbo hilo pia, lina upinzani mkali kutoka kwa aliyekuwa mwenyekiti wa Halmashauri ya Ukerewe, Joseph Nkundi (Chadema) na Christopher Nyandiga (CCM). Machemli anapewa nafasi ya tatu.
E2: The constuency also has strong competition from the former chair of Ukerewe council, Joseph Nkundi (Chadema) and Christopher Nyandiga (CCM). Machemli is given third place.
3:
E3:
4:
E4:
5:
E5:
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 19
REGION_NAM: Mwanza
DISTRICT_C: 01
DISTRICT_N: Ukerewe
Jimbo: Uvinza (Kigoma Kusini)
Jimbo display: Uvinza (Kigoma Kusini)
Constituency display: Uvinza (Kigoma South)
Point location: Uvinza, Tanzania
1: Mwandishi wa Mwananchi Anthony Kayanda anasema “hapa ushindani upo baina ya mbunge anayemaliza muda wake, David Kafulila wa NCCR Mageuzi na mgombea wa CCM, Hasna Mwilima.”
E1: Mwananchi reporter, Anthony Kayanda says “here the contest is between the sitting MP, David Kafulila of NCCR Mageuzi and the CCM candidate, Hasna Mwilima.”
2: Alisema wakati Mwilima akijivunia rekodi nzuri ya chama hicho katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika mwezi Desemba, 2014 na kushinda vijiji na vitongoji vingi licha ya vyama vingine kutumia hoja ya Escrow kuwashawishi wananchi kuikataa CCM.
E2: He explains that Mwilima has a good record in campaigning, based on having led a very successful campaign in local government elections in 2014, despite other parties using the Escrow scandal against CCM.
3: Pia, mgombea wa ACT Wazalendo, Saidi Bakema anaweza kutoa ushindani kwa vyama hivyo viwili na kwa jinsi alivyojipanga, anaweza kupata kura nyingi katika vijiji vilivyopo mwambao wa Ziwa Tanganyika.
E3: Further, the ACT-Wazalendo candidate, Saidi Makema, could play a part, and based on how well prepared he appears to be, he could garner a lot of votes from villages close to Lake Tanganyika.
4: Kafulila anajivunia umaarufu alioupata kutokana na uwezo wake wa kujenga hoja bungeni, hasa alipokomalia kashfa ya escrow.
E4: Kafulila has a proud record and high public profile based on his contributions in parliament, particularly his commitment to exposing the Escrow scandal.
5: Wagombea wengine wanaweka nguvu kubwa katika ukanda wa barabara na reli, hususani Kata ya Uvinza na Nguruka.
E5: The other candidates have more strength along the roads and rail routes, particularly the wards of Uvinza and Nguruka.
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 16
REGION_NAM: Kigoma
DISTRICT_C: 05
DISTRICT_N: Uvinza
Jimbo: Vunjo
Jimbo display: Vunjo
Constituency display: Vunjo
Point location: Himo, Tanzania
1: “Wenyeviti wapambana”
E1: “Chairmen battle”
2: Moja ya majimbo ambayo wapinzani watakuwa wakipambana vikali ni Vunjo, ambako mwenyekiti wa zamani wa NCCR-Mageuzi, Augustine Mrema atakuwa akipambana na mwenyekiti wa sasa, James Mbatia.
E2: One of the constituencies where opposition parties will battle against each other is Vunjo, where the former NCCR-Mageuzi chairman, Augustine Mrema will battle against the party’s current chairman, James Mbatia.
3: Mrema, ambaye sasa ni Mwenyekiti wa TLP, atakuwa akijaribu kurejea bungeni, huku Mbatia, ambaye aliingia bungeni kwa kuteuliwa na Rais, akitaka kuingia kwa kupigiwa kura akiungwa mkono na Ukawa.
E3: Mrema, who is now chair of Tanzania Labour Party (TLP), will be trying to return to the constituency, while Mbatia, who was a nominated MP (chosen by President Kikwete), will compete with the support of Ukawa.
4: Pamoja na CCM kumsimamisha mgombea kijana, Innocent Shirima, vita kubwa itakuwa baina ya wawili hao ambao walianza kupandisha joto tangu wakiwa bungeni, baada ya Mrema kudai Ukawa imemuingilia kwenye jimbo lake. Ingawa Mbatia alionekana kuwa na nguvu kubwa, mgogoro uliopo baina ya vyama vinavyounda Ukawa umebadilisha upepo na huenda hali hiyo ikaipa nguvu CCM.
E4: Though CCM has put forward a young candidate in Innocent Shirima, the real battle will be between these two, who began their battle while still in parliament, when Mrema claimed that Ukawa was interfering in his constituency. Though Mbatia is seen as having popular support, the tensions between Ukawa coalition members has changed the weather, and could give strength to CCM.
5: Mbatia ndiye aliyepitishwa na Ukawa kugombea ubunge wa jimbo hilo, pamoja na wagombea udiwani wa chama chake, lakini Chadema nao wamesimamisha madiwani katika kata zote 16 ambao wote hawamuungi mkono.
E5: Mbatia is the candidate supported by Ukawa to contest the constituency, along with candidates for councillor from his party, but Chadema has also put forward candidates for councillor is all 16 wards, all of whom do not support Mbatia.
6:
E6:
7:
E7:
Chanzo: Chanzo: Mwananchi, 26/9/15
Source: Source: Mwananchi, 26/9/15
Url: http://www.mwananchi.co.tz/habari/Siasa/Mchuano-mkali-majimbo-34/-/1597332/2886514/-/tk8re9z/-/index.html
description:
name:
REGION_COD: 03
REGION_NAM: Kilimanjaro
DISTRICT_C: 04
DISTRICT_N: Moshi